Popular Posts

Tuesday 25 August 2015

amaxc blog: hey ulipitw na hotuba ya magufuli ya kwanza kweny kampen zaaake!!! jioneeee mwenyew video live bila chenga!!!




John Pombe Magufuli ndio amepitishwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2015, hii ni hotuba yake ya kwanza siku ya ufunguzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani Dar es salaam.jionee video hii hapa chini mtu wangu!!!

No comments:

Post a Comment