Popular Posts

Monday 24 August 2015

amaxc blog: hii hapa amaxing!!!! unajua nn wimbo wa diamond wa "nana" umeibuka kidedea kweny count down za redio huko uingereza!!!!! jionee pchazzz na video

Entertainment Good news mtu wangu; wimbo wa ‘Nana’ wagonga nafasi ya juu kwenye countdown ya radio Uingereza! nana Siku chache zilizopita nilikusogezea good news iliyokuwa inawahusu watu wetu Navy Kenzo ambao wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee ulishika #1 kwenye countdown ya radio nchini Nigeria.
Licha ya hivyo wasanii wengi wa Bongo Flava wamekuwa wakiiwakilisha Tanzania vizuri sana, wapo akina Joh Makini, Jux, Alikiba na wengine. Kwa kweli sitoacha kusema wasanii wetu wanajituma na kufanya kazi kwa bidii sana.
nana2 Good news nyingine tena inatoka Uingereza mtu wangu na inaandikwa na mtu wetu Diamond Platnumz amabaye kwenye countdown ya DNA Top 5 kwenye radio ya BBC Radio 1Xtra kipindi kinachoendeshwa na DJ Edu wimbo wa Diamond ‘Nana’ aliomshirikisha Flavor kutoka Nigeria umesikika kwenye nafasi ya #1 wiki hii!
nana3 BBC Radio 1Xtra ilichukua time kupitia page yake ya Twitter kumpongeza Diamond kwa kushika nafasi hiyo wiki hii.
nana Licha ya hayo video ya ‘Nana’ ya Diamond Platnumz iliachiwa mwezi May tarehe 29 ambayo ni miezi 3 iliyopita lakini ukitembelea page ya Youtube ya msanii huyu muda huu utagundua kuwa kwa miezi hiyo 3 tu video hiyo imepata watazamaji Million 4,064,938 na kwa hilo well done Diamond! Hii ndio Top 5 ya DNA Top 5 wiki hii kwenye BBC Radio 1Xtra.. Diamond feat. Flavour – Nana Patoranking feat. Wande Coal – My Woman, My Everything. Wizkid feat. Drake &Skepta – Ojuelegba (Rmx) Khulichana feat. Patoranking – No Lie. Davido feat. Meek Mill – Fans Mi.jionee video mtu wangu hii hapa

No comments:

Post a Comment