Popular Posts

Thursday 27 August 2015

amaxc blog: matokeo kati ya man united v/s club brugge nmekusogezea hapa!!!!!! jioneee magoli live and pchazzzzzzz



Michezo Man United Vs Club Brugge matokeo ni haya (Picha&Video)
 BRUGGE, BELGIUM - AUGUST 26: during the UEFA Champions League qualifying round play off 2nd leg match between Club Brugge and Manchester United held at Jan Breydel Stadium on August 26, 2015 in Brugge, Belgium. (Photo by Dean Mouhtaropoulos/Getty Images) Klabu ya Manchester United August 26 imeshuka dimbani kucheza mechi yake ya marudiano na Club Brugge ya Ubelgiji, mchezo huo ambao Club Brugge imecheza nyumbani lakini imepokea kichapo cha goli 4-0. Magoli ya Man United yamefungwa na nahodha wa timu hiyo Wayne Rooney dakika ya 20, 49 na 57 huku goli la nne lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 63. Picha za mechi ilivyo kuwa mtu wangu!!!!
jionee video ya magoli yooote live hapa chini mdau wangu!!!!

No comments:

Post a Comment