Mtoto Latiffah Nassib a.k.a Princess Tiffah anazidi
kuongeza ukaribu kati ya familia za wazazi wake,

Diamond pamoja na Zari.
Takribani wiki tatu baada ya Zari kujifungua, mama
yake mzazi amefunga safari kuja Tanzania
kumsalimia binti yake pamoja na kumuona mjukuu
wake.

Mama yake Zari akiwa amembeba Tiffah
Zari ameshare picha ya mama yake akiwa
amemtambelea nyumbani kwa Diamond akiwa
amembeba Tiffah na kuandika;
“Good morning, tag someone your blessed to have
in your life. Here is my mom and my daughter”
No comments:
Post a Comment