Popular Posts

Tuesday 25 August 2015

amaxc blog: duh make up nomaaa!!! hebu cheki hii sura kauzu ilivyo change for seconds!!! flan tu!! jioneee huyu bibi aliyefunga ndoa na jamaa ..afu baadae sasa!!!!!

Mabaka mabaka,chunusi na upele huweza kuondolewa na madawa mbalimbali watumiayo dada zetu wa kizazi kipya.Usije ukalogwa kukurupukia uzuri wa sura unaouwona barabarani.Huyu dada make up imemfanya kuwa kijana mwenye mvuto wa kimataifa. *****achana na ma babyzz wa make up unajua nn sifa kauzu ka mbuuuzi

No comments:

Post a Comment