Popular Posts

Saturday 29 August 2015

amaxc blog: ninayo ratiba ya ligi kuu uingereza na hispania august 29 and 30!!!! jionee mtu wangu!!

Magazeti Ninayo ratiba ya Ligi Kuu Uingereza na Hispania ya August 29 na 30 mtu wangu….. Ligi Kuu mbili zinazopendwa zaidi ukanda wa Afrika Mashariki Ligi Kuu Hispania na Uingereza August 29 na 30 kuna michezo kadhaa inapigwa katika viwanja tofauti Hispania na Uingereza . Nakusogeza na ratiba za mechi zote za Laliga na EPL za weekend hii mtu wangu wa nguvu.
Fixtures Hii ni ya Ligi Kuu Uingereza mtu wa 1.
Huu ni muda wa mechi za Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki 1.Newcastle Vs Arsenal 14:45 2.Aston Villa Vs Sunderland 17:00 3.Bournemouth Vs Leicester 17:00 4.Chelsea Vs Crystal Palace 17:00 5.Liverpool Vs West Ham 17:00 6.Man City Vs Watford 17:00 7.Stoke Vs West Brom 17:00 8. Tottenham Vs Everton 19:30 Jumamosi August 30 9.Southampton Vs Norwich 15:30 10. Swansea Vs Man Utd 18:00 Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Hispania Mtu wangu 2
Huu ni muda wa mechi hizo kwa saa za Afrika Mashariki mtu wangu 1.Real Sociedad Vs Sporting de Gijón 19:00 2.Barcelona Vs Málaga 21:30 3.Celta de Vigo Vs Rayo Vallecano 23:00 5.Real Madrid Vs Real Betis 23:30

No comments:

Post a Comment