Popular Posts

Wednesday 19 August 2015

amaxc blog: proffesor jay amechukua form ya kugombea ubunge 2015!!! unajua jimbo gan???! jionee hapa mtu wangu!!!!

Entertainment Professor Jay achukua fomu ya kugombea ubunge 2015 Good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.
Taarifa hizi zimethibitishwa na msanii huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika..’Nimechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la MIKUMI kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa Mr. Idd Mshili ambaye ndie msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.. Eeh MWENYEZI MUNGU NISAIDIE’ – Professor Jay

No comments:

Post a Comment