Popular Posts

Monday 24 August 2015

amaxc blog: ze mafurikoz ya magufuli!! live katavi!!!! jionee ilivyo kuwa!!!!

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia) akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia) akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi

No comments:

Post a Comment