HELLOW!!! WELCOME THIS IS AMAxc THE GLOBAL MEDIA AND NEWS SUPPLIERS!!! amaxc.blogspot.com
Popular Posts
-
Duh hii ni aibu kwelikweli kuona msomi ambaye anategemewa kama kiongozi wa kesho kufanya mambo ya ajabu namna hii .. haya ni ...
-
Hii ni picha ya moja kati ya wanachuo msichana akiwa hosteli na ..demu huyo sio siri anawachanganya wengi chuo hapo ikiwemo ma lectur....
-
Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bon...
-
Ikiwa leo ndio Uchaguzi wabunge wa Viti Maalum Kupitia Chama cha Mapinduzi Nchini katika Mkoa wa Singida Mgombea Wema Sepe...
-
Hz n baadh ya pcha za shilole akiwa na boy wake!! wakiwa kweny mapoz ya mahab ***** { clik here to see the video wakiwa wanaoga ...
-
john pombe magufuli Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na Timu ya Uwazi Mizengwe hivi karibuni na kuihusisha mikoa yote ya Ta...
-
Mwanamke aliye bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.Richard Bukos na Issa Mnally Mwanam...
-
Hzi n baadhi ya pcha za mastaa tofauti w KIKE hapa tz . sio siri n balaa coz sometmes najiuliza ! do they ril care???? ? ...
-
Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Masharik...
-
Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Saturday 22 August 2015
amaxc blog: baada ya kumkosa pedro!! taarifa hiz ni pigo tena kwa manchester united!!! jionee mwenyew
Michezo
Baada ya kumkosa Pedro taarifa hizi ni pigo tena kwa Manchester United
Klabu ya Manchester United ambayo msimu huu imedhamiria kupata saini za wachezaji mahiri watakaoweza kurejesha heshima ya kikosi chao kwani toka aondoke Sir Alex Ferguson, klabu hiyo imekuwa na wakati mgumu wa kurudisha makali yake ya awali.
manchester_united_logo_by amaxc™
Njia pekee Man United walioamua kuitumia kukijenga upya kikosi chake ni kufanya usajili pekee ndio utakaoweza kuirudisha Man United katika ubora wake, kwa hivi siku za karibuni klabu ya Man United ilikuwa ikihitaji kuipata saini ya beki wa Real Madrid Sergio Ramos na kutumia kigezo cha Real Madrid kumtaka De Gea ili iweze kuwashawishi Real Madrid kumuachia beki huyo.
photo by amaxc™
Baada ya klabu ya Real Madrid kuweka ngumu na kugoma kumuuza beki huyo kwenda Man United na kumpa mkataba mpya, Man United waliamishia mawazo kwa beki kutokea Ureno anayeitumikia Real Madrid ya Hispania Pepe wakiwa na matumaini ya kumpata, August 21 Real Madrid wametangaza kumsainisha mkataba mpya beki huyo.
Pepe ambaye amesaini mkataba mpya utakaomuweka Santiago Bernabeu hadi June 30 2017 alikuwa katika uwezekano wa kuondoka na Man United walikuwa wakimtolea macho kabla Real Madrid kumpa mkataba mpya, Pepe amejiunga na Real Madrid mwaka 2007 akitokea klabu ya FC Porto ya Ureno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment