Popular Posts

Tuesday 25 August 2015

amaxc blog: liverpool v/s arsenal matokeo yalikuwa hivi!!!! jionee pchazzz na video yan ile full time mtu wangu!!!!

Michezo Liverpool Vs Arsenal matokeo yalikuwa hivi (Pichaz & Video) August 24 klabu ya Arsenal ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza mechi iliyochezwa katika uwanja wa Emirates wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000. Mechi hiyo ambayo ilikuwa na mvuto wa aina yake kwa mashabiki wa Ligi Kuu Uingereza.
during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.
Mashabiki walikuwa na kiu ya kukosa mechi za Ligi Kuu kwa muda ila kwa bahati mbaya mechi hiyo ya Arsenal dhidi ya Liverpool imemalizika kwa sare ya kutofunga goli (0-0).  nme kusogezea video ya hiyo game wala hata usiwaze mdau wangu jiachie!!!!!!!! kaz n kwak




jiinee pchazzzzz nyng tyu hapa chini!!




No comments:

Post a Comment