Popular Posts

Tuesday 6 October 2015

amaxc blog: huyu ndyo BOSS mpya wa twitter...

Duniani Huyu ndio Boss mpya wa Twitter kwa sasa. July 01 2015 story ya Boss wa Twitter kujiuzulu ilichukua headlines kwenye Vyombo Vikubwa vya Habari pamoja na Mitandaoni pia, ambapo Boss wa wakati huo, CEO Dick Costolo alilazimishwa kujiuzulu kutokana na Kampuni hiyo kutofanya vizuri Kibiashara. Jack Dorsey
Jack Dorsey ndio CEO mpya wa Twitter. Baada ya Costolo kuachia nafasi yake, mmoja ya waanzilishi wa Twitter, Jack Dorsey alikabidhiwa kuwa Mkurugenzi wa muda wakati ambao wanafanya mchakato wa kumpata Boss mwingine… Bodi ya Wamiliki wa Twitter imetangaza rasmi kwamba uamuzi walioufanya ni kumchagua Jack Dorsey kuendelea kuwa Boss wa Twitter.
Twitter HQ Wamiliki wa Twitter hawakuridhishwa na Mwenendo wa Biashara yao ambapo Ripoti zinaonesha Twitter ina wastani wa watumiaji Milioni 316 kwa Mwezi huku idadi kubwa wakijitoa na kuacha kutumia Mtandao huo.

No comments:

Post a Comment