Popular Posts

Friday 16 October 2015

amaxc blog: Isikupite hii video walivyopokelewa Tanzania: Diamond, Vanessa na Ommy Dimpoz baada ya tuzo za AFRIMMA.

Isikupite hii video walivyopokelewa Tanzania: Diamond, Vanessa na Ommy Dimpoz baada ya tuzo za AFRIMMA. Tuzo za AFRIMMA ni tuzo ambazo zimeasisiwa na Mnigeria ambaye Marekani yamekua makazi yake kwa muda mrefu tu na tuzo hizi zimekua zikifanyika kwa mara nyingine tena ndani ya ardhi ya Obama na kuhusisha Mastaa mbalimbali wa nchi za Afrika wakiwemo Madj, Producers, video directors na hata Wasanii. Airport
Airport Dar es salaam. Mwaka huu 2015 Tanzania imeng’ara kwa kuzichukua tuzo tano kupitia kwa mastaa wake watatu waliokua wanawania ambao ni Vanessa Mdee aliyeshinda tuzo moja, Ommy Dimpoz aliyeshinda moja na Diamond Platnumz aliyeshinda tuzo tatu ambapo baada ya ushindi huo ndio wakarudi nyumbani, tazama hapa chini uwaone baada ya kutua bongo

No comments:

Post a Comment