Popular Posts

Tuesday 6 October 2015

amaxc blog: Jokate Mwegelo kwenye headlines za Mashindano ya Miss Tanzania 2015.. (Audio)

Entertainment: Jokate Mwegelo kwenye headlines za Mashindano ya Miss Tanzania 2015.. (Audio)
Tunafahamu kuwa wiki kadhaa zilizopita mrembo Jokate Mwegelo aliteuliwa kuwa msemo wa kamati mpya ya Miss Tanzania iliyoundwa hivi karibuni. Sasa leo Octoba 6, 2015 akizungumza na ripota wa amaxc kuhusiana na mashindano hayo na kusema…’Actually kwa wengine wamepokea kitofauti tumepata mitazamo tofauti kuhusiana na hili tulivyokutana mara ya kwanza kama kamati chini ya mwenyekiti wetu Bw. Juma Kenzo tukashauriana kwamba ni kitu gani ambacho kitaweza kuboresha mashindano ya Miss Tanzania’ – Jokate Mwegelo ‘Hili haya mashindano yaweze kuwa na muelekeo wa kitofauti pale msichana anapochukulia kuwakilisha mkoa Fulani inakuwa na heshima Fulani tukasema basi ebu tuangalie mwaka huu itabidi turudie katika enzi zile ambazo mashindano ya Miss Tanzania yalikuwa yanaanzia kwenye mikoa moja kwa moja kwenye Taifa’ – Jokate Mwegelo
‘Kwa hiyo hicho ndio ambacho tumeweza kukirudisha katika mashindano ya Miss Tanzania mwaka huu kwa sasa tutarudi kuwa na Miss Ruvuma, Miss Tanga, Miss Arusha hakuna tena mashindano ya Kanda lakini kwa upande wa Dar es Salaam tutakuwa na kanda tatu tu yaani Temeke, Ilala, Kinondoni na hakuna Mashindano ya Miss Kaskazini’ – Jokate Mwegelo klik here usikie maneno aliyozungumza kidoti

No comments:

Post a Comment