AFISA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, PCCB, Conrad Mtenga (53) maarufu kama Chillangamsafa amefariki katika ajali kwenye barabara kuu ya Mbeya-Iringa.
Watu wawili wamejeruhjiwa kwenye ajali hiyo iliyotokea eneo la Tanangozi, baada ya gari dogo aina ya Nissan Patrol, mali ya AfriCarriers, kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Scania.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Pudenciana Protas alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 8:30 mchana eneo la Tanangozi barabara kuu ya Iringa- Mbeya
Kamanda Ptotas alisema kuwa gari hiyo yenye namba za usajili T.291 BNK aina ya Nisan Patrol mali ya Africafrie’s Ltd ya Jijini Dar es salaam ilikuwa ikiendeshwa na Conrad Mtenga (53) maarufu kwa jina la Chillangamsafa ambaye ni mfanyakazi wa PCCB na mkazi wa chunya. Alisema kuwa gari hiyo iligongana na gari aina ya Scania yenye namba T.783 ATQ ambayo ilikuwa ikiendeshwa na dereva Henry Lulandala ( 35) na kusababisha kifo cha dereva huyo.
Majeruhi walitajwan kuwa ni pamoja na Baraka Zakayo na Rebeca Mtenga, wote wamelazwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa. Kaimu kamanda huyo wa polisi alisema, uchunguzi wa awali unaonyesha derive wa gari dogo alihama kutoka upande wake na kumfuata mwenye gari kubwa na hivyo kugongana uso kwa uso.
Marehemu Conrad Mtenga
Mabaki ya garti dogo aina ya Nissan Patrol, baada ya ajali hiyo
HELLOW!!! WELCOME THIS IS AMAxc THE GLOBAL MEDIA AND NEWS SUPPLIERS!!! amaxc.blogspot.com
Popular Posts
-
Duh hii ni aibu kwelikweli kuona msomi ambaye anategemewa kama kiongozi wa kesho kufanya mambo ya ajabu namna hii .. haya ni ...
-
Hii ni picha ya moja kati ya wanachuo msichana akiwa hosteli na ..demu huyo sio siri anawachanganya wengi chuo hapo ikiwemo ma lectur.... ...
-
Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bon...
-
Ikiwa leo ndio Uchaguzi wabunge wa Viti Maalum Kupitia Chama cha Mapinduzi Nchini katika Mkoa wa Singida Mgombea Wema Sepe...
-
Hz n baadh ya pcha za shilole akiwa na boy wake!! wakiwa kweny mapoz ya mahab ***** { clik here to see the video wakiwa wanaoga ...
-
john pombe magufuli Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na Timu ya Uwazi Mizengwe hivi karibuni na kuihusisha mikoa yote ya Ta...
-
Mwanamke aliye bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.Richard Bukos na Issa Mnally Mwanam...
-
Hzi n baadhi ya pcha za mastaa tofauti w KIKE hapa tz . sio siri n balaa coz sometmes najiuliza ! do they ril care???? ? ...
-
Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Masharik...
-
Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Saturday, 18 July 2015
AMAxc BLOG: AFISA>> PCCB AFARIKI KWA AJALI MBAYA YA GARI NJIANI AKIELEKEA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE HUKO NJOMBE!!!!!
Labels:
amaxc™
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment