Popular Posts

Friday 17 July 2015

AMAxc BLOG: DUH CHEZEA PESA WEWE!!!

CHUMBA cha mtoto wa mastaa Aunt Ezekiel na Moses Iyobo aitwaye Cookie usipime, kwani kimenakshiwa kwa gharama inayofikia shilingi milioni saba, ambazo zimetumika kwa kuwekewa vifaa maalum.
Gharama kubwa iliyotumika ni kumtenge nezea vifaa maalumu kama bafu na kitanda pamoja na vitu vingine vya watoto vitakavyomfanya mtoto wetu ajisikie vizuri muda wote,” alisema Aunt Ezekiel, staa wa filamu Bongo.

Staa huyo alisema yeye na mzazi mwenzake hawaoni shida kuingia gharama kwa ajili ya mtoto wao kwani anawapa faraja hivyo watatumia nguvu nyingi na kujituma kuhakikisha mambo yote juu yake yanakwenda vizuri.

No comments:

Post a Comment