Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia
Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza
kwa wingi jioni ya leo.
Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha
Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe
Magufuli akiwasalimia wanachama wa
chama hicho pamoja na Wananchi wa jiji
la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi
za CCM mkoa,ambao walijotokeza kumlaki
kwa shange na furaha kubwa.Dkt Magufuli
amewasili leo jijini Mwanza akitokea jijini
Dar kwa ajili ya kujitambulisha kwa
wanachama wa chama hicho pamoja na
wananchi kwa ujumla.
Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha
Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi
alipokuwa akiwasili jijini Mwanza jioni ya
leo akiwa ameambatana na baadhi ya
viongozi wa juu wa chama cha
CCM,Magufuli yuko jijini Mwanza
kujitambulisha kwa Wananchi.
Mke wa Mgombea Uraisi kwa tiketi ya
chama cha Mapinduzi Dkt.John Pombe
Magufuli,Mama Janeth Magufuli
akiwasalimia Wakazi wa jiji la Mwanza na
vitongoji vyake waliojiotokeza kwa wingi
kuwapokea,Pichani kulia ni Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye akizungumza machache kabla ya
kumkaribisha Mgombea Uraisi kwa tiketi
ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt
John Pombe Magufuli kujitambulisha kwa
wanachama wa chama hicho pamoja na
Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji
vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa wa
Mwanza.
Baadhi ya Wananchi wakilikimbiza gari
la Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John
Pombe Magufuli kwa shangwe kama
waonekanavyo pichani ,wakati Magufuli
lipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa ajili
ya kujitambulisha kwa wanachama wa
chama hicho pamoja na Wananchi kwa
ujumla jioni ya leo.
Baadhi ya Wananchi wa jiji la Mwanza
wakiwa wamefunga barabara kwa muda
wakishangilia ujio wa Mgombea Uraisi wa
CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli
alipokuwa akiwasili jijini Mwanza kwa
ajili ya kujitambulisha kwa wanachama
wa chama hicho pamoja na Wananchi kwa
ujumla jioni ya leo.mchana.PICHA NA
AMAxc™
PICHA ZAIDI BOFYA HAP
HELLOW!!! WELCOME THIS IS AMAxc THE GLOBAL MEDIA AND NEWS SUPPLIERS!!! amaxc.blogspot.com
Popular Posts
-
Duh hii ni aibu kwelikweli kuona msomi ambaye anategemewa kama kiongozi wa kesho kufanya mambo ya ajabu namna hii .. haya ni ...
-
Hii ni picha ya moja kati ya wanachuo msichana akiwa hosteli na ..demu huyo sio siri anawachanganya wengi chuo hapo ikiwemo ma lectur.... ...
-
Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bon...
-
Ikiwa leo ndio Uchaguzi wabunge wa Viti Maalum Kupitia Chama cha Mapinduzi Nchini katika Mkoa wa Singida Mgombea Wema Sepe...
-
Hz n baadh ya pcha za shilole akiwa na boy wake!! wakiwa kweny mapoz ya mahab ***** { clik here to see the video wakiwa wanaoga ...
-
john pombe magufuli Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na Timu ya Uwazi Mizengwe hivi karibuni na kuihusisha mikoa yote ya Ta...
-
Mwanamke aliye bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.Richard Bukos na Issa Mnally Mwanam...
-
Hzi n baadhi ya pcha za mastaa tofauti w KIKE hapa tz . sio siri n balaa coz sometmes najiuliza ! do they ril care???? ? ...
-
Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Masharik...
-
Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Saturday, 18 July 2015
AMAxc BLOG: MAELFU WAMLAKI MAGUFURI HUKO MWANZA!!!
Labels:
amaxc™
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment