Popular Posts

Friday, 17 July 2015

AMAxc BLOG: MCHUNGA MMOJA HUKO KENYA AZUA BALAA..

Ni baada ya mchungaji wa kanisa flani huko kenya kuiba na style mpya ya utoaji mapepo!!  licha ya njia hiyo kuonekana kuwaacha waumini wakiwa hoi!!!  watu wengi waongezeka kanisani hapo wakiamini njia hyo nbora na iko fasta katika uponyaji.

No comments:

Post a Comment