Popular Posts

Wednesday 15 July 2015

AMAxc BLOG: MWANAUME MWENYE HIPS KULIKO WANAWAKE WOOTE AANIKA PICHA ZAKE MTANDAONI

Hyu ndiye mwanaume mwenye hips kubwa kuliko woote duniani.. ni baba wa watoto wawili huko marekani na ni mwanamziki.. anayefahamika kama micah.. uzuri huu wa hips zake umesababisha hata baadhi ya wanawake kumtamani maneyo hayo aliyasema micah alipo kuwa akihojiwa na televisioni flani maarufu sana nchini humo

No comments:

Post a Comment