Popular Posts

Saturday, 18 July 2015

AMAxc BLOG: RAY C KUTANGAZA NIA YA KUOLEWA!!! NA HUYU NDO ALIYE JITOKEZA!!! Mmmmmh

Rafiki amefungua roho juu ya Ray C... Hebu tumsikilize, na Mungu akujalie katika mpango huu, uufanikishe!
MY FUTURE WIFE REHEMA CHALAMILA
Najua umepokea simu nyingi za watu tofauti wanaotangaza nia juu yako, kwa kile ulchowai kukipost ya kuwa unahtaj mwanaume ambae atakuwa mumeo halali. Ila kiupande wangu ckuhitaji kukupigia simu wala kukumia ujumbe wowote ule nilichohtaji ni kuonana nawewe nikuelezdm hisia zangu face to face. Na ndiomaana nililazmika kufunga safari ktk mahala nilpo adi ofisini kwako Mwananyala Koma Koma ,lakn kwa nzuri au mbaya nilpofika ktk jengo ambalo ndo ipo ofisi yako niliambiwa kuwa umeama japo awakunielekeza ulpoamia. Nilichofanya ni kufunga safari adi Mwananyamala Hospital ambapo uwa unaenda kunywa dawa Methadon. Lakin nilpofka niliambiwa kuwa muda wa kuona wagonjwa ulikuwa umeisha ,bado sikukata tamaa nililazimika kufika BAMAGA ofisi za grobal publisherz na kujarbu kuwaelezea na kutaka kujua unapopatkana. Ndpo kwa ushirikiano wao walinielekeza kuwa unaishi BUNJU lakini bado sikukata tamaa kwakuwa dhamila yangu ni kuonana nawew. Nilifunga tena safari ktk Bamaga adi Bunju ,nilpofka nilijarbu kuulza kwa wenyeji wa pale wanielekeze unapoishi. Ndpo nikapata wenyej wawili ambao walinileta adi getin kwako, nilpogonga geti alikuja binti mmoja alifungua geti na kuniulza shda yangu. Nilpomueleza kuwa nina shda nawew alinijbu kuwa umetoka labda nijarbu kuja jioni, ilinibidi nigeuze na kuanza kuondoka. Wakat naondoka na wenyej wangu mamy wako alitoka ndani na kutuita, tulpokwenda akajarbu ku2ulza maswali kadhaa nami nilpomjbu kuw tulikuw na shda kimaswala ya sanaa mama ikabid atupatie number yako, na nilijarbu kumuulzia ulpoamishia ofisi yako aliniambia kuw unapatkana Mikocheni B, Ndpo nikamuaga na kurud zangu nyumban. Ktk moyoni nayasema haya adhalani na hii yote nahtaj niudhiilshie umma kuwa Nampenda Ray C na npo tayar kutimiza kile alchokiandka kwan naamini nna vgezo vyote alvyo violodhesha. Km ukinpa nafasi ntatimiza wajbu wangu wa kukupa furaha kama mumeo wa ndoa Nakupenda sana . Kwa mawasiliano me napatkana kupitia number +255 653 859542 Email Dozeeabou22@gmail.com

No comments:

Post a Comment