Popular Posts

Saturday, 18 July 2015

AMAxc BLOG: WEMA SEPETU ACHUKUA FORM YA UBUNGE LIVE!!!!!

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, (kushoto) akipokea fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu wa UWT wilaya ya Ikungi, Yagi Kiaratu.

Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu alipokuwa akijiandaa kulipa ada ya uchukuzi wa fomu za kuwania ubunge viti maalum mkoa wa Singida leo (17/7/2015).Kulia ni katibu UWT wilaya ya Ikungi mkoani Singida. 

BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment