Popular Posts

Friday, 17 July 2015

AANGUA KILIO BAADA YA KUIBIWA SMART PHONE YAKE CLUB!!!

Binti aliye poteza simu yake ya mkononi yenye gharama ya tsh. million 6. alijikuta akishindwa kujizuia na kuanza kuangua kilio katkat ya club .kitu ambacho kikipelekea watu kustop mauno kwa muda na kumtizama!!!!.

No comments:

Post a Comment