Popular Posts

Friday, 17 July 2015

BREAKING NEWS!!!! MWANAMZIKI MKONGWE BANZA STONE AFARIKI DUNIA

Mwimbaji maarufu wa dansi Ramadhan
MasanjaBanza Stone” amefariki muda
huu nyumbani kwao Sinza.
Ndugu wa Banza, Hamis ameiambia AMAxc
kwamba kuanzia jana usiku hali ya Banza
ilibadilika na alikata kauli hadi mchana huu
Mungu alipomchukua.
Habari zaidi zitafuata baadae.mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi..

No comments:

Post a Comment