Popular Posts

Thursday, 16 July 2015

AMAxc BLOG: ALIYE ONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA HUYU HAPA..

Mwanafunzi aliye shika namba nane kitaifa katikati pichani akiwa na mama yake kushoto na kulia na mwalimu mtaaluma katika shule ya feza boys juzi wakiwa nyumbani kwao mbezi. mwanafunzi huyo ambaye aliwahi kuwa wa tatu katika mtihani wa form two taifa alionekana na furaha hapo juzi hii ni kwasababu ndoto aliyo kuwanayo tangu primary ilionekana kutimia.(picha na alex mkilanda)

No comments:

Post a Comment