Popular Posts

Thursday, 16 July 2015

AMAxc BLOG: MKUU WA WILAYA KINONDONI AKUTANA LIVE NA VIJANA

Mh ALLY MAKONDA amekutana na vijana hii leo kuzungumzia suala la ajira. wilaya ya kinondoni ni miongoni  mwa wilaya zinazo kabiliwa na kuwepo kwa idadi kubwa ya vijana wasio kuwa na ajira hivyo kupelekea vijana wengi kuingia katika wimbi la utumiaji wa madawa ya kulevya.

No comments:

Post a Comment