Popular Posts

Thursday, 16 July 2015

AMAxc BLOG: KIONGOZI UKAWA KUSIMAMISHWA HIVI PUNDE

Baada ya mchakato wa wiki nyingi mfulizo hatimaye kiongozi ukawa kutajwa hivi punde hapo kesho. tume ya ukaww imesema maneno hayo leo jion mapema baada ya kumaliza mkutano wao. hata hivyo tume a ukawa imeonyesha kulizishwa na zoezi zima mpaka kufikia hapo. maneno hayo yalisemwa na mwenyekiti wa tume .

No comments:

Post a Comment