Popular Posts

Saturday, 18 July 2015

AMAxc BLOG: PICHA ZA BANZA STONE ALIVYO ZIKWA JIJINI DAR!!!!

Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.* *PICHA ZAIDI MAZISHI YA BANZA BOFYA HAPA*

No comments:

Post a Comment