Popular Posts

Saturday, 18 July 2015

AMAxc BLOG; SUPER STAR PLATNUMZ AFUNGUKA MAZITO KUHUSU DAVIDO!!!!!! AGUSIA UJIO WA MTOTO WAKE!!!!

Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz amekutana na camera ya AyoTV hapa Durban South Africa wakati tukisubiria tuzo za MTV 2015 * *kaongelea Beef yake na Davido ilivyokua na mpaka wakakutana, mtoto wake wiki ijayo, tuzo za MTV na mengine * *BONYEZA HAPA KUONA VIDEO DIAMOND AKIFUNGUKA*

No comments:

Post a Comment