Popular Posts

Friday, 17 July 2015

ANT EZEKIEL AWATIBUA WAISLAMU! SHEHE AMVAA!!!!

Aunt Ezekiel akiwa na watoto. WAANDISHI WETU STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye jina lake la Kiislam baada ya kubadili dini ni Rahma, hivi karibuni alifanya maulidi ya kumtoa mwanaye Cookie lakini katika hali ya kushangaza alifanya mambo ambayo yaliwatibua Waislam, Ijumaa lina ishu nzima. Ilikuwa nyumbani kwake Aunt alifanya tukio hilo hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar kisha kuwaalika ndugu, jamaa na marafiki ambapo mbali na kuombewa dua na maustadhi, pia aliwafuturisha Waislam waliokuwa kwenye mfungo. Licha ya kitendo hicho kilichodaiwa kuteketeza milioni kad... more »

No comments:

Post a Comment