Popular Posts

Sunday, 16 August 2015

amaxc blog: alikiba na diamond, davido na wikzid kuwania msanii bora na nyimbo bora ya mwaka tuzo za AFRIMA 2015!!!! jionee alicho sema ali k!!

Orodha ya wasanii wanaowania tuzo za All Africa Music Awards (AFRIMA) 2015 za Nigeria yametangazwa. Tanzania inawakilishwa na Diamond, Alikiba na upande wa wasanii wa kike ni Linah.
Wasanii wenye ushindani mkubwa Afrika Mashariki, Diamond na Alikiba pamoja na wasanii wenye ushindani mkubwa Afrika Magharibi, Davido na
Wizkid wote kwa pamoja wamekutana katika vipengele muhimu vya ‘Wimbo Bora wa Mwaka’ na ‘Msanii Bora wa Mwaka’. alikiba na diamond Alikiba na Diamond pia wanawania kipengele cha ‘Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki’, na Wizkid na Davido wanashindania ‘Msanii Bora Wa Kiume Afrika Magharibi’. Mwingine kutoka Afrika mashariki katika kipengele hiki ni Jose Chameleone wa Uganda. wizkid-davido2 Linah anawania kipengele cha ‘Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki’. linah nostress
Upigaji wa kura umeanza August 14, na tuzo zitatolewa November 15, 2015 jijini Lagos, Nigeria. Hii ni orodha ya Nominees. AFRIMA-13
AFRIMA-12
AFRIMA-11
AFRIMA-10
AFRIMA-9
AFRIMA-8
AFRIMA-7
AFRIMA-6
AFRIMA-5
AFRIMA-4
AFRIMA-3
AFRIMA-2
AFRIMA-1

No comments:

Post a Comment