Popular Posts

Wednesday, 12 August 2015

amaxc blog!! kwa mara ya kwanza amaxc™ imesaini mkataba wa miaka miwili!! na pspf!!! hii n moja kati ya hatua kubwa ambayo....

am very happy!! coz nkitu ambacho nilikuwa nikikifikiria siku zote!!! leo jumatano mishale ya saa nne asubuhi!! nmepokea advertising offer from PSPF via my.gmail !! nabila kupoteza wakat nikaingia mkataba wa miaka miwili!!! shukran zangu za dhati nazielekeza kwenu wadau wangu coz without you nisingefka hii hatua!! matangazo ambayo yataanza kuonekana kwenye this blog mapema mwezi wa kumi na moja!!! asanten sana wadau wangu and endeleen kuwa pamoko na amaxc blog!!!
asante god coz bila ww ...

No comments:

Post a Comment