Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho bado anaamini kuwa mkuu wa madktari wa timu hiyo Eva Carneiro alifanya uzembe wakati wa kumtibia Eden Hazard kitu kilichopelekea Mourinho kuona kama anachelewesha muda wakati mchezo ulikuwa katika dakika za nyongeza.

chelsea doctor- eva
Taarifa zilizotoka August 11 kuhusiana na Doctor huyo huenda hatasafiri na timu wiki ijayo katika mechi dhidi ya Mancherster City, Eva Carneiro bado ataendelea kuwa mkuu wa madktari wa timu hiyo ila hato ruhusiwa kwenda katika mazoezi ya timu hiyo na hata wakiwa katika Hotel, kitu ambacho kimezua maswali mengi juu ya hatma ya Doctor huyo katika timu hiyo.

doctor pchan hapo juu!!
Baada ya Mourinho kumlaumu Eva baadhi ya watu katika mitandao mbalimbali ya kijamii walimpongeza Eva kwa maamuzi alioyafanya na wao wanaamini alikuwa ana tekeleza majukumu yake kama Doctor wa timu hiyo.
No comments:
Post a Comment