Popular Posts

Saturday, 15 August 2015

amaxc blog: hii hapa ndo list ya warembo 20 walio wahi kuwa na mahusiano ya kimapen...z na christian ronaldo!!!! jionee pchazzz

Vimeandikwa vingi sana kuhusiana na Staa wa soka wa Real Madrid ya Hispania na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, kuhusu kuishi maisha ya kifahari Ronaldo kaandikwa sana, kuhusu watu kuhoji mama wa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 Cristiano Ronaldo Junior ni yupi, hiyo ilikuwa headlines kila kona kuhusu staa huyo. August 15 nakusogezea list ya wasichana ambao Cristiano Ronaldo amewahi kuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi kwa nyakati tofauti lakini hakuna mama wa mtoto wake hapo kwani bado hajulikani, Ronaldo amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na wasichana zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti hao ni wale aliowahi kuonekana nao public. 
 1. Jordana Jardel, 2003
Cristiano Ronaldo 
 2. Isabel Figueira, 2005
3. Diana Chavez, 2006
4.Merche Romero, 2006
5.Gemma Atkinson, 2007
6.Karina Bacchi, 2007
7.Bipasha Basu, 2007
8.Maria Sharapova, 2007
 10. Letizia Filippi, 2008
 11.Mia Judaken, 2008
12. Paris Hilton, 2009
13. Raffaella Fico, 2009
fico 14.Imogen Thomas, 2010
15.Jasmine Lennard, 2010
jasmine-lennard-cristiano-ronaldo
 16. Kim Kardashian, 2010
kim-kardashian-cristiano-ronaldo
 17. Irina Shayk, 2011
irina-shayk-cristiano-ronaldo-marie-claire-11182011-lead-350x300 9.ndo huyu hapa

No comments:

Post a Comment