Popular Posts

Saturday, 8 August 2015

amaxc blog: hii ndo picha ya kwanza ya superstar platnumz akiwa na mwanae(princess tiffah) jionee ilivyo kaa guuuud!!!

Picha ya kwanza Diamond Platnumz akiwa na Princess_TiffahSiku ya Jana ilimkuwa ni siku ya Furaha sana kwa familia ya Diamond Platnumz ambapo Zari ambae ni mpenzi wa Diamond alijifungua mtoto wa kike, Mtoto huyu amepata umaarufu sana kwa muda mfupi katika mitandao ya kijamii hasa instagram ambapo mpaka sasa account yake ina jumla ya Followers 40 elfu. Katika account hii ya @princess_Tiffah imepostiwa picha ya kwanza ikimuonyesha Diamond Platnumz akiwa na mtoto wake. at Saturday, August 08, 2015

No comments:

Post a Comment