Popular Posts

Thursday, 6 August 2015

amaxc blog: hiv n baadh ya vituko 5 alivyo wahi kufanya mwanasoka mtukut baloteli!!! unajua nn hebu clik haapa

Mario Balotelli ni mshambuliaji wa Kimataifa wa Italia mwenye asili ya Ghana lakini anaichezea klabu ya Liverpool ya Uingereza, Balotelli wengi tunamfahamu kwa tabia yake ya utukutu huwa haoni hatari kufanya jambo lolote liwe zuri au baya maadam akili yake imemtuma kufanya atafanya tu.
August 6 nakuletea mkusanyiko wa matukio mbalimbali aliowahi kuyafanya ambapo kwa tabia yake ya utukutu ni kawaida kuona kafanya vitendo hivyo, nakuletea mkusanyiko wa matukio ya kijinga aliowahi kuyafanya Balotelli . 1. Mwaka 2013 aliwahi kukunjana na kocha wake Roberto Mancini ambae ndiye kocha namba moja anaeongoza kuvumilia kwa vituko vyake yaani kwa maana nyingine mtaani huwa wanatania Mancini ni kama baba wa Balotelli kwa aina ya makocha kama Sir Alex Ferguson na Louis van Gaal wasingeweza kuvumilia vituko vyake.

No comments:

Post a Comment