Popular Posts

Monday, 3 August 2015

AMAxc BLOG: HIV NDIVYO ILIVYO KUWA NDOA YA WAKALA NUMBER ONE WA RONALDO!!!!! mastaa kbao walikuwepo!!

Hatimaye wakala namba moja wa wanasoka bora ulimwenguni, Jorge Mendes jana alifunga ndoa na mchumba wake wa siku, Sandra Barbosa.
Sherehe ya ndoa ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa soka ulimwenguni, huku Cristiano Ronaldo, mteja mkuu wa Mendes akiwa ‘mpambe rasmi’ wa bwana harusi.
ronaldo akiingia church Wageni waalikwa wengine walikuwa ni kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson, Raisi wa Real Madrid, Florentino Perez, James Rodriguez, Jose Bosingwa na Deco De Souza pamoja na Pepe.

No comments:

Post a Comment