Popular Posts

Sunday, 9 August 2015

amaxc blog: inshu ya masomo ya msanii flani nchini china utata mtupu!!! cant imagine!! klik hapa

Msanii Juma Jux anayedai kusoma nchini china degree ya udaktari elimu hiyo inawaacha wazi watanzania.Siku ya juzi kwenye hafla ya kumuaga muheshimiwa rais aliudhuria na wiki kadhaa nyuma alihudhuria tuzo za Kilimanjaro.Huu usomaji wake ni utata kila siku yupo Tanzania na anajinadi anasoma nchini China.

No comments:

Post a Comment