Popular Posts

Wednesday, 5 August 2015

amaxc blog: je unajua kwann prof ibrahim lipumba na dr slaa wasusia UKAWA!!! jibu hili hapa

Elimu shahanda za udhamivu dokta na uprofesa haziendani na maamuzi yanayofanywa ndani ya umoja huo kupokea oil chafu.Pili upande wa dokta Slaa matakwa yake ya kumpokea Edward Lowasa ilibidi afanye mkutano wa kueleza ukweli wa richmond.Tatu Prof Lipumba hakufahamishwa kikao kilichofanyika maamuzi ya mwenyekiti mwenza Haji Duni kuvuliwa uwanachama na kujiunga chadema kama katiba inavyoitaji kifungu cha 57 katiba .

No comments:

Post a Comment