Popular Posts

Sunday, 9 August 2015

amaxc blog: lipumba kujiuzulu siri nzito yafichuka!!!! mambo mazito yasemwa!!! nshdaah

Rais Jakaya Kikwete (kulia), akiteta jambo na Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba SIRI kuu ya kujiuzulu uenyekiti katika Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, imeanza kufichuka. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka serikalini, ofisi kuu ya CCM, Lumumba, Idara ya Usalama wa taifa (TISS) na kwa watu waliokaribu na Prof. Lipumba mwenyewe zinasema, kiongozi huyo amejiuzulu ili kulinda ajira ya mmoja wa maswahiba wake wakubwa serikalini. “Prof. Lipumba amejiuzulu baada ya wakubwa ‘kufika bei’ ili kulinda kibarua cha mmoja wa vigogo kutoka idara nyeti serikalini, ambaye ni swahiba wake wa karibu,” ameeleza mmoja wa viongozi wajuu kutoka serikalini.

No comments:

Post a Comment