Popular Posts

Saturday, 8 August 2015

amaxc blog: lulu na aliye kuwa mme wa flora mbasha wanaswa live!!!!! waki...!! unajua nin??!! klik hapa ujionee videos na maphotozzzz!!

Elizabeth Michael ‘Lulu’ Brighton Masalu ELIZABETH Michael ‘Lulu’ na aliyekuwa mume wa muimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha wamezua gumzo, minong’ono na maswali mengi kufuatia kutumia muda mwingi kukaa kwa ukaribu zaidi na kwa mapozi tofautitofauti.
Emmanuel Mbasha. Tukio la wawili hao kugandana mithili ya ruba, lilijiri hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar, kulikokuwa na uzinduzi wa Albamu ya Tunapendwa na Mungu ya muimbaji Boniface Mwaitege na kuzua hisia za huenda ‘wanabadilishana joto’. “Mmh, hawa mbona wako ‘beneti’ kiasi hicho? Halafu ona wanavyooneshana mahaba jamani, kuna kitu hapo, siyo bure,” alisikika mdau mmoja wakati akijadiliana na wenzake. Hata hivyo, mwanahabari wetu alimuuliza Mbasha juu ya ukaribu wao ambapo alijibu kwa kifupi kuwa ni upendo wa kawaida tu. “Aah, kaka mbona ni kawaida tu, upendo wa Agape (kawaida), hakuna cha ziada kati yangu na Lulu,” alisema Mbasha. klik hapa uone video live lulu akiliwa uroda!!!

No comments:

Post a Comment