

"Leo tumezindua Jogging Club ya Mburahati, pia tumezindua ofisi pamoja na Miradi midogo midogo, na kuwakabidhi mashine ya Max malipo yenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano.
Nimatumaini yangu vijana wote tutawajibika ili tujikwamue kiuchumi. Hakuna atakaetusaidia kama hatujachukua hatua sisi wenyewe."
No comments:
Post a Comment