
Staa wa Bongo fleva Nasbu Abdul ‘Diamond Platnums’.
Staa wa Bongo fleva nchini anayetamba kwa sasa na wimbo wa ‘Nana’ huku akiitambulisha Tanzania Kimataifa zaidi katika tasnia muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wikiendi hii staa huyo wa ‘Nana’ ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za Nollywood and African People’ Choice Awards (NAFCA) za nchini Nigeria.
No comments:
Post a Comment