
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akikumbatiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa
UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim
Seif Sharif Hamad, kabla ya kuelekea kwenye
Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni
jijini Dar es salaam leo August 9, 2015,
kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha Wananchi CUF. Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh.
Edward Lowassa na Mgombea Urais wa Zanzibar
wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF,
Maalim Seif Sharif Hamad na Wenyeviti wenza wa
UKAWA, Mh. James Mbatia na Dkt. Emmanuel
Makaidi wakitembelea kuelekea Makao Makuu
Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es
salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano
wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama

cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa na Mgombea Urais wa Zanzibar wa
UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim
Seif Sharif Hamad, wakiwapungia wafuasi wa
Vyama vinavyounda UKAWA wakati wakielekea
kwenye Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF,
Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9, 2015,
kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama
cha Wananchi CUF. Wengine walioambatana nao ni
Wenyeviti wenza wa UKAWA, Mh. James Mbatia na
Dkt. Emmanuel Makaidi.
KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA AU BOFYA HAPA
Michuzi
Read more
Share
Top 10 Tanzania Today Today
Breaking News,Tanzania World News
10-August-2015 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Soma Habari kuu leo
Zinazosomwa Sasa
Lowassa: Ushindi 90% CCM waibe 10 1
MWIGULU NCHEMBA APANGA KIKOSI CHA
USHINDI CHA CCM. 2
Familia ya Kawawa 'yatupwa' nje CCM 3
Lowassa: CCM hodari wa kuiba kura 4
Prof Lipumba ndani ya Rwanda kigali
sikiliza... 5
MSIKILIZE MWINGULU NCHEMBA
AKIPANGA KIKOSI CHA...
No comments:
Post a Comment