Popular Posts

Monday, 10 August 2015

amaxc blog: ukawa yaitaji kutoa kafara ili kushinda!!! jionee mchezo huo

Wakati mwingine linapotaka kufanyika jambo kubwa ni lazima pawepo na KAFARA. Mwl Nyerere kabla ya kwenda kuhutubia UN wazee walimpeleka Bagamoyo kwenda kutoa kafara. Serikali ya awamu ya nne ilijaribu kutoa kafara kila Mara ilipobidi ili iweze kubaki madarakani. Kuna wengi waliogeuzwa kafara lakini kwa uchache ni Balali, Lowasa, Zakia, Mwenegoha, Nyoni, Sita, Kagasheki, Vuai Nahodha, Nchimbi, Prof Muhongo na wengine wengi. Kuitoa CCM sio jambo lahisi pengine kafara yahitajika. Kama KAFARA ya Prof Lipumba yatosha au tunahitaji kafara nyingine ni jambo la kutafakari. klik hapa uone kafara iliyo andaliwa!!!

No comments:

Post a Comment