Popular Posts

Sunday, 16 August 2015

amaxc blog: video ya magoli ya simba v/s ura jana!!! full time hii hapa..

MagoliAugust 15 2015 ilikua siku nyingine kubwa kwa mashabiki wa Simba na URA ya Uganda sababu timu hizi mbili zilikutana kwenye mechi iliyopigwa uwanja wa taifa Dar es salaam ambapo mpaka time inakatika matokeo ilikua Simba 2 – 1 URA, unaweza kutazama magoli yote ya Simba hapa chini kwenye hii video klik hapa ujionee video

No comments:

Post a Comment