Popular Posts

Friday, 7 August 2015

amaxc blog: vip arsenal itamsajili karim benzema???? wenger atoa majibu haya hapa jioneee!!!

Mshambuliaji wa kati wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Karim Benzema ambaye amekuwa akihusishwa na uhamisho wa dau kubwa wa kwenda katika klabu ya Arsenal, kitu kilichopelekea hata mshambuliaji wa muda wote wa Arsenal Thierry Henry kuunga mkono kama Wenger atafanya maaumuz ya kumsajili
Licha ya tetesi kutoka katika vyombo vya habari vya Hispania kuwa klabu ya Arsenal imepeleka ofa ya pound milioni 35 kwa klabu ya Real Madrid ili iweze kumsajili mshambuliaji huyo, bado kocha wa Arsenal Arsene Wenger anakanusha uvumi kuwa sio kweli hana mpango na mshambuliaji huyo.
“Kwangu mimi sijawahi kusema namuhitaji Benzema ni maneno ya vyombo vya habari tu, wakati hawapo wakina Sanchez na Welbeck nafikiri tulikuwa tunahitaji nguvu katika safu yetu ya ushambuliaji”>>>Wenger Wengi bado wanaimani na klabu ya Arsenal kuwa watasajili mshambuliaji mmoja tena kwa gharama ya juu baada ya mkurugenzi wa klabu hiyo Lord Harris kutangaza mwezi July kuwa kuna pound milioni 200 kwa ajili ya usajili hivyo Wenger anaweza kumnunua

No comments:

Post a Comment