Popular Posts

Monday, 10 August 2015

amaxc blog: ze mafurikozzzz!!!!! unajua nn!! lowassa ndo habari ya mujini muda huu!!!! cant believe!!!!

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment