Popular Posts

Tuesday, 4 August 2015

AMAxc BLOG: ZITTO AWAPONDA LOWASSA NA MAGUFULI!!! jionee alicho kisema ni nooooma

Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe. Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hakuna tofauti kati ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyechukua fomu ya kugombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na wote kutokuwa na ubavu wa kupambana na ufisadi. Zitto alisema hayo jana katika mkutano mkuu wa ACT- Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini, uliokuwa maalum kwa ajili ya kupiga kura ya maoni ili kupata mgombea wa ubunge wa chama hicho Jimbo la Kigoma Mjini. klik hapa uone video kipind zitto akiongea

No comments:

Post a Comment