Popular Posts

Sunday, 16 August 2015

breaking newzzzz!!! polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa lowassa huko mwanza!!(home)!! shuhudia mchezo ulivyo kuwa mtu wangu!!

Muda huu polisi wanapiga mabomu uwanja wa ndege jijini Mwanza kuwatawanya wananchi waliokusanyika kumpokea Lowassa. Mabomu yamepigwa muda mfupi baada ya ndege inayosadikiwa kuwa ni ya Lowassa kutua uwanjan, hali iliyowafanya wananchi walipuke kwa furaha huku wakiimba nyimbo za Chadema. Kadhia hiyo iliwafanya Polisi watumie nguvu ya ziada kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wametanda barabarani.

No comments:

Post a Comment