Popular Posts

Thursday 13 August 2015

emperor of the social medias!!! amaxc-- team leader!! the talk about uchaguz!!

*Kampeni zinaanza tar 22/08/2015. *Kampeni zinafungwa tar 24/10/2015 *Tar 25/10/2015 ndio siku ya vikatio kufanya kazi. *Tar 26/10/2015 matokeo ya uchaguzi yatatangazwa. * Kampeni zitafanyika kwa jumla ya siku 70. * Nchi ina mikoa 30, * kuna jumla ya majimbo 240, * kuna kata 2,880 * kuna vijiji 19,800 *************************** Hivyo basi ili mgombea Urais ahutubie nchi nzima ina maana anatakiwa ahutubie wilaya 3.5 kwa siku. Anatakiwa ahutubie Kata 41 kwa siku (kila siku). Anatakiwa ahutubie vijiji 282 kwa siku. .................- Now guys hii ni Tanzania yaani Rais tunayemtaka ni lazima aweze kutimiza hiyo Ratiba hapo juu je kwa uwezo wako wa kuona na kufikiri kuhusu Wagombea wote wa Urais tulionao maana ni wengi NANI ATAWEZA HIYO SCHEDULE na MGOMBEA gani hawezi?...... Maana asiyeweza automatically hawezi kutuongoza maana kama haiwezi hii Schedule tuliyojipangia wenyewe waTanzania ataweza wapi kutuongoza kwenye mengine tuliyojipangia?.....GUYS JUST THINK KABLA YA KUPIGA KURA YAKO KAMA UNAMPIGIA THE RIGHT CANDIDATE WA KUTUFIKISHA TO THE PROMISED LAND maana hata Nabii Musa alifika mahali alichoka akawa hawezi kuifuata Schedule ya Mungu tena so akampumzishwa na Mungu akamchagua Joshua! ......hahahhhhahah I was just thinking a loud! - alex from amaxc™.

No comments:

Post a Comment