Popular Posts

Thursday, 13 August 2015

amaxc blog: bongo movie mmoja hiv!!! afunguka kuwa wasanii wanao kimbilia siasa n wapu.....!!! unamjua n nan hyo!!

Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Lungi Maulanga ameweka wazi kuwa wasanii wote kutoka Bongo Movie waliokurupuka na kujiingiza kwenye siasa ni wapuuzi kwani hawana sifa za kuingia kwenye siasa kutokana na vitendo vyao vingi kutokubaliwa na jamii inayowazunguka. Akibonga na Amani, Lungi alisema kuwa anaamini wengi walikurupuka na hakuna walichokuwa wanakifuata zaidi ya kwenda kujitia aibu kwa vitendo vyao viovu vya ufuska na ndiyo maana wameambulia patupu. “Upeo wao wa kufikiri ulishindwa kujitosheleza, sababu haiwezekani mtu upuuzi wote aliokuwa anaufanya mbele ya jamii bila kujipanga akaonesha kubadilika tabia ghafla na kurupuka kisha kutangaza nia, huo ni ujinga uliokithiri. Siasa si sehemu ya ufuska ni sehemu inayohitaji heshima, nilijua mapema wengi wangeanguka na hakuna hata mmoja niliyemuona anafaa,” alisema Lungi.

No comments:

Post a Comment